Home News Chelsea wakamilisha usajili wa Michy Batshuayi

Chelsea wakamilisha usajili wa Michy Batshuayi

Klabu ya Chelsea imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji aliyekuwa anaichezea Marseille Michy Batshuayi kwa £33m.
Michy-Batshuayi-2Kuanzia msimu ujao Chelsea itaanza kunolewa na aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Italia katika michuano ya Euro 2016 Antonio Conte.Michy-Batshuayi
Batshuayi mwenye umri wa miaka 22, amesaini mkataba wa miaka mitano ya ndani ya Stamford Bridge London England.