Home News Euro 2016: Ureno yaingia fainali baada ya kuichapa Wales 2-0

Euro 2016: Ureno yaingia fainali baada ya kuichapa Wales 2-0

Timu ya taifa ya Ureno imeingia fainali ya kombe la Euro 2016 baada ya jana kuichapa Wales mabao 2-0.

Mabao hayo yalifungwa na Cristiano Ranaldo na Nani. Huo ulikuwa ni mchezo wa kwanza wa Wales kwenye nusu fainali ya Euro.
Na sasa Ureno inamsubiri mshindi wa mechi ya leo kati ya Ufaransa na Ujerumani.