Home News Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba, Cheki hapa

Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba, Cheki hapa

Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba, Cheki hapa

 0Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.

Bongo
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond platnumz na Ali kiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.
Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi KidudeMr Blue, Dully SykesJuma Nature, Q ChiefAli kiba na wengine wengi.
Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni?
Tazama video hapa.