Home News Jinsi Wanandoa Wanavyoagana Wakati wa Kulala Duniani

Jinsi Wanandoa Wanavyoagana Wakati wa Kulala Duniani

                                                          VICHEKESHO

Ebu soma huu ujumbe wa kuchekesha
Kule Marekani mume anapoenda kulala anamwambia mke wake “goodnight baby”
Kule Uingereza mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “sweet dreams honey”
Kule Australia mume anapoenda kulala humtakia mke wake usiku mwema kwa kusema “goodnight my love”
Huku kwetu Tanzania mume anapoenda kulala humuuliza mke wake  “umefunga milango yote na madir

Kituko cha uzamiaji wa kwenye misiba