Home News Papa Wemba afariki dunia baada ya kuanguka jukwaani

Papa Wemba afariki dunia baada ya kuanguka jukwaani

Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii baada ya kuanguka jukwaani wakati akitumbuiza.
2111749
Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast amefariki baada ya kuanguka ghafla wakati akitumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA). Inadaiwa kuwa alishikwa na kifafa